Wakulima Wa Kahawa Katika Kaunti Ya Narok Wakongamana Katika Uwanja Wa Kilgoris DEB

  • | K24 Video
    23 views

    Wakulima Wa Kahawa Katika Kaunti Ya Narok Hii Leo Wamekongamana Katika Uwanja Wa Kilgoris Deb. Hii Ni Katika Halfa Maalum Ya Ufufio Wa Ukulima Wa Kahawa Ambao Umrkuwa Na Changamoto Si Haba. Waziri Wa Wizara Ya Ushirika Na Biashara Ndogo, Ndogo Na Za Kati Wycliffe Oparanya Anatarajiwa Kuhudhuria Hafla Hiyo Katika Eneo Hilo La Transmara Kaunti Ya Narok.