Emily Cherop Kaptwai asimulia jinsi alivyojeruhiwa alipokuwa anafanya kazi Saudi Arabia

  • | NTV Video
    216 views

    Emily Cherop Kaptwai, mama wa watoto watatu, mzaliwa wa Kaunti ya Pokot Magharibi, ni muathiriwa anayesimulia jinsi alivyojeruhiwa na mgonjwa alipokuwa anafanya kazi kama kijakazi Saudi Arabia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya