Serikali ya kaunti Samburu yaongeza juhudi za usajili

  • | Citizen TV
    56 views

    Serikali ya Kaunti ya Samburu imeongeza Juhudi za kufanikisha mpango wa usajili wa bima ya afya ya SHA mashinani. Hii ni baada ya ripoti iliyotolewa na wizara ya afya kuirodhesha Kaunti hiyo kuvuta mkia katika usajili kote nchini