Serikali ya kaunti yashirikiana na wamiliki wa mashamba Taita Taveta

  • | Citizen TV
    63 views

    Serikali ya kaunti ya Taita Taveta kwa ushirikiano na wamiliki wa mashamba makubwa ya uhifadhi imeahidi kubuni nafasi za ajira kwa vijana kupitia wawekezaji wa kibinafsi