Kisunzi cha SHA

  • | Citizen TV
    302 views

    Viongozi wakizidi kutofautiana kuhusu bima ya sha, Baadhi ya wabunge kutoka eneo la Gusii wanaelezea wasiwasi wao kuhusu bima hiyo ambayo wanasema haiwasaidii wananchi kama inavyohitajika