Serikali yatakiwa kujumuisha utamaduni kwenye mtaala wa masomo

  • | KBC Video
    4 views

    Mfalme wa jamii wa Wa-Teso Emormor Papa amekariri haja ya jamii za Afrika Mashariki kuhifadhi na kuenzi tamaduni zao kama sehemu ya utambuzi wao. Anasema hii ni njia moja ya kuimarisha uwiano na maendeleo katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive