Vijana Busia wahimizwa kujiepusha na lugha ya uchochezi mitandaoni

  • | KBC Video
    4 views

    Vijana katika kaunti ya Busia wamehimizwa kujiepusha na lugha ya uchochezi kwenye mitandao ya kijamii mbali na kutumiwa na wanasiasa wanaoeneza ajenda zao mtandaoni kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive