kongamano la waumini wa dini tofauti laandaliwa

  • | Citizen TV
    317 views

    Katika juhudi za kupambana na ongezeko la visa vya itikadi kali na dhulma za kijinsia katika kaunti ya Kilifi, wanawake wa kidini wameanzisha muungano unaoleta pamoja dini mbali mbali ili kuhamasisha jamii.