Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu hawajapata pesa

  • | Citizen TV
    152 views

    Siku moja baada wizara ya Elimu kusema imetuma shilingi bilioni 9.46 kupiga jeki masomo ya zaidi ya wanafunzi laki tatu wa vyuo vikuu nchini, baadhi ya wanafunzi sasa wanasema wangali kupokea fedha hizo hadi sasa