Wizi wa maji Mombasa

  • | Citizen TV
    581 views

    Gavana wa Mombasa Abulswamad Sharif Nassir amekiri kwamba uhaba wa maji umekuwa kero kwa wakazi. Hii ni baada ya wakazi kulalamikia ukosefu wa bidhaa hiyo muhimu. Kulingana na gavana, asilimia 60 ya maji hupotea kila siku na imechangiwa na maafisa wa kaunti na wale wa serikali kuu wanaoaminika kuiba maji