Maonyesho ya Utamaduni yameandaliwa Magadi

  • | Citizen TV
    56 views

    Maonyesho ya utamaduni na Mila ya Jamii ya maa imeandaliwa Leo Katika eneo la Magadi huko Kajiado Magharibi Wakazi wa eneo hilo watapata fursa ya kuonyesha Mavazi ya Jamii hiyo ya maa, Vyakula vya kiasili, Nyimbo za kitamaduni pamoja na tamaduni zingine