Sekta ya mitindo na urembo yakua kwa kasi nchini Kenya ikichochewa na vijana

  • | TV 47
    6 views

    Sekta ya mitindo na urembo yakua kwa kasi nchini Kenya ikichochewa na vijana wanapoendelea kufuata mitindo ya kisasa.

    Thamani ya sekta yafikia Shilingi bilioni 100.

    Mahitaji ya wataalamu wa ushonaji, urembo na usanifu yaongezeka.

    Wazazi wahimizwa kuunga mkono mafunzo ya kiufundi.

    Wanafunzi waomba mikopo nafuu kuanzisha biashara.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __