Shughuli ya kufukua makaburi yaanza kwa Binzaro

  • | Citizen TV
    58 views

    Makaburi 27 imeratibiwa kufukuliwa katika eneo hilo. Shughuli hiyo inayoongozwa na maafisa wa kitengo cha mauaji imeanza rasmi kufuatia ruhsa ya mahakama kwa maafisa wa upelelezi kufukua makaburi.