Baadhi ya walioathirika na maandamano kabla ya 2027 wataka kufidiwa

  • | Citizen TV
    204 views

    Baadhi ya waathiriwa wa maandamano sasa wanaitaka serikali pia kufidia familia zilizoathirika na machafuko yaliyofanyika kabla ya mwaka 2017.