'Maajabu ya ngazi'

  • | BBC Swahili
    363 views
    Je unazijua faida za kiafya utakazozipata endapo utapanda ngazi kila siku, ikilinganishwa na kutumia lifti? Kupanda ngazi ni mazoezi rahisi yanayoweza kuimarisha afya ya moyo, kuongeza uwezo wa ubongo, kujenga misuli, na kuboresha usawa wa mwili. Chagua kupanda ngazi kama njia rahisi ya kujiweka vizuri kimwili na kiakili, hata kwa hatua chache tu kila siku. Ungana mwandishi wa BBC @frankmavura katika video hii akikuhimiza kupanda ngazi – ni rahisi, ni bure, na faida zake ni kubwa kwa mwili na akili yako! #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #foryou #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw