Vingozi wa mashamba ya jamii kaunti ya Kajiado waunga mkono mradi wa hewa ya kaboni

  • | Citizen TV
    262 views

    Viongozi wa mashamba ya kijamii na hifadhi mbalimbali katika kaunti ya Kajiado wamejitokeza na kutetea mradi wa hewa ya kaboni ambao unaendeshwa na shirika moja la kutunza mazingira katika kaunti ndogo nne za kajiado.