Mwadhama Rahim Al-Hussaini Aga Khan V, azuru Kenya

  • | Citizen TV
    130 views

    Rais William Ruto amepongeza mtandao wa maendeleo wa Aga Khan kwa mchango wake mkubwa katika sekta za afya, elimu na mazingira nchini.