Kaunti zahitaji shilingi bilioni saba za kuwahamisha wahudumu wa afya

  • | Citizen TV
    50 views

    Mgogoro mpya unazuka kati ya serikali kuu na serikali za kaunti kuhusu hatma ya wafanyakazi chini ya mpango wa huduma ya afya kwa wote UHC.