Wauzaji Muguka wapata soko jipya Ugweri, Embu

  • | KBC Video
    8 views

    Kundi la wafanyabiashara wa Muguka waliofurushwa kutoka mjiniSiakago katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini, kaunti ya Embu wamepata soko jipya katika eneo la Ugweri katika kaunti hiyo hiyo. Wafanyabiashara hao kutoka kaunti ya Meru wamekuwa wakiendeleza biashara yao mjini Siakago hadi majuma matatu yaliyopita wakati walipofurushwa kwa madai ya kuhusika na visa vya wizi wa pikipiki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive