Kamati ya Seneti yaahidi kushughulikia madeni ya shillingi 1.3 bilioni

  • | Citizen TV
    90 views

    Kamati ya Seneti imezuru kampuni ya Kenya Seed na kuahidi kushinikiza serikali kuu na za kaunti kulipa madeni yanayozidi shilingi bilioni 1.3 ili kurahisisha upatikanaji wa mbegu bora kwa wakulima nchini