Muungano wa matabibu waitaka serikali kuajiri madaktari zaidi

  • | Citizen TV
    141 views

    Muungano wa matabibu wa magonjwa mbalimbali nchini unaitaka serikali kuajiri matabibu zaidi ili kutatua uhaba wa wataalamu hao wakisema umeathiri utoaji huduma za afya ya msingi kote nchini