Idara ya watoto yazindua mradi wa kuwapa mafunzo watoto

  • | Citizen TV
    259 views

    Idara ya huduma kwa watoto imezindua mpango wa uwekaji umeme wa nishati ya jua ambao utasaidia zaidi ya watoto 90 ambao wako katika mchakato wa kurekebishwa tabia katika shule iliyoidhinishwa ya Kabete ili kuungana na jamii vyema baada ya kuachiliwa kurudi nyumbani