Mirindimo ya RMS mashinani

  • | Citizen TV
    262 views

    Kampuni ya royal media services kwa ushirikaiano na kampuni ya joy millers na pepsi... imetua katika ukanda wa bonde la ufa kwa msururu wa mikutano na mashabik wake eneo hilo. Leo shamrashamra inaandiliwa katika soko la west market jijini eldoret ambapo wakaazi watapata fursa adhimu ya kukutana na watangazaji maarufu wa radio citizen na fursa ya kipekee ya kuonja utamu wa unga wa ngano wa raha premium na ugali wa kavagara kwani mapishi yanaandaliwa kwa watakaoshiriki