Wakazi wa Kariobangi Matate Taita Taveta wafurushwa

  • | Citizen TV
    193 views

    Wakazi wa mtaa wa Kariobangi huko Mwatate kaunti ya Taita Taveta wameachwa katika njia panda huku wanakadiria hasara baada ya mwekezaji wa kibinafsi kubomoa makaazi yao