Vijana wa Kimarekani wageukia wabunifu wa Kiafrika kutengeneza magauni
Vijana wa Kimarekani sasa wanawageukia wabunifu wa Kiafrika kutengeneza magauni yao ya ndoto kwa ajili ya prom. Ingawa prom siyo desturi barani Afrika, wabunifu watano wamesema wametuma karibu magauni 3,000 nchini Marekani mwaka huu pekee.
BBC imezungumza na baadhi ya wasichana wa Kimarekani wanaosema walijihisi kama princessi na malkia wa Kiafrika. Kwa wabunifu, hii ni fursa ya kusafirisha ubunifu na mtindo wa Kiafrika, huku wakifungua masoko mapya.
Habari ya Mwandishi wa BBC Chiamaka Enendu inasimuliwa na @frankmavura.
#bbcswahili #africanpromdress #tanzaniatiktok
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
31 Aug 2025
- Kenya now sets its sights on hosting other major tournaments in the coming months.
31 Aug 2025
- This will affect patients who seek health services in hospitals using private insurance.
31 Aug 2025
- The authorities in the U.S. have been given 30 days to enforce the directive.
31 Aug 2025
- Kenya now sets its sights on hosting other major tournaments in the coming months.
31 Aug 2025
- Khamenei’s charisma is evident not only among the people of Iran but also across the wider Muslim world
31 Aug 2025
- This will affect patients who seek health services in hospitals using private insurance.
31 Aug 2025
- Government should demonstrate grass is also green back home through good economic policies
31 Aug 2025
- Ipoa still depends on the Interior ministry to approve it's funding
31 Aug 2025
- Relationships counsellor Pastor Susan Munene has shared her insights on what couples need to focus on to build
31 Aug 2025
- The authorities in the U.S. have been given 30 days to enforce the directive.
31 Aug 2025
- KFS ordered those visiting Karura Forest to pay via eCitizen, igniting public uproar.
31 Aug 2025
- A judge has ordered a preliminary injunction to shut it down within 60 days
31 Aug 2025
- Each is seeking to stamp authority in their backyard through their respective parties