Rais mteule wa Kenya William Ruto aahidi kusonga mbele utawala wake

  • | VOA Swahili
    3,612 views
    - Rais mteule wa Kenya William Ruto amesema matarajio ya umma yalikuwa makubwa na hapakuwa na muda wa kupoteza, na aahidi kusonga mbele utawala wake. - Wakuu wa nchi za jumuiya ya SADC wakutana DRC kwa ajili ya mazungumzo ya ukuzaji na kuinua uchumi. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.