- 14,306 viewsDuration: 1:24Muongozo mpya wa wahamiaji nchini Marekani umeweka zuio la visa kwa watu wenye unene uliopitiliza, saratani, au kisukari, pamoja wale waliopo kwenye umri wa kustaafu @sammyawami anatuhabarisha zaidi; - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw