17 Nov 2025 10:06 am | Citizen TV 167 views Duration: 1:48 Wawakilishi wa KUPPET na Walimu wa JSS Kaunti ya Narok wanaitaka serikali kuu kuwapa ajira ya kudumu kama ilivyoafikiwa miaka miwili iliyopita.