17 Nov 2025 10:11 am | Citizen TV 2,941 views Duration: 2:13 Huku Zikisalia siku kumi tu kabla ya chaguzi ndogo kufanyika katika maeneo mbali mbali humu nchini kampeni zimepamba moto katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi .