17 Nov 2025 10:16 am | Citizen TV 315 views Duration: 1:38 Huku uchaguzi mdogo wa Wadi ya Chwele/Kabuchai unapotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba,viongozi kutoka Kaunti ya Bungoma wametakiwa kutochochea wananchi na badala yake kudumisha amani.