Skip to main content
Skip to main content

Dunia yaadhimisha siku ya wanaozaliwa kabla ya wakati wao

  • | Citizen TV
    718 views
    Duration: 2:59
    Ulimwengu unaadhimisha siku ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati wao kufika Jumatatu hii . Dhima kuu mwaka huu ni kuwapa watoto hao msukumo wa kuanza maisha kwa nguvu ili kuwa na siku bora za usoni. Na kama anavyoarifu Aisha Seif, takwimu zinaonyesha kuwa watoto 134,000 huzaliwa kabla ya wakati wao kila mwaka nchini, huku watoto 33,600 miongoni mwao wakifariki .