17 Nov 2025 1:25 pm | Citizen TV 694 views Duration: 2:01 Huku taifa la Kenya likiungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya kukomaa, ipo haja ya mikakati mwafaka kuwekwa kuzuia vifo vya watoto hao.