17 Nov 2025 1:20 pm | Citizen TV 792 views Duration: 1:16 Mwakilishi wadi ya Bonyamatuta Julius Matwere amewasilisha rasmi hoja inayolenga kumwondoa ofisini Gavana wa kaunti ya Nyamira Amos Nyaribo.