- 309 viewsDuration: 1:18Huku idara ya mahakama ikiendelea kuhamasisha umma mwezi huu wa Novemba kuhusu haki na namna ya kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma, hakimu mkuu katika mahakama ya Loitokitok kaunti ya Kajiado Esther Kimilu ametoa onyo kuwa mahakama hiyo haitasita kuwachukulai hatua kali za kisheria wale wanawadhuluma watoto.