17 Nov 2025 1:42 pm | Citizen TV 457 views Duration: 1:27 Katibu katika wizara ya kilimo Paul Rono alizindua kiwanda Cha kahawa cha Kichawir katika eneobunge la Kipkelion Mashariki na kutoa miche ya mibuni kwa wakulima.