17 Nov 2025 1:45 pm | Citizen TV 558 views Duration: 1:55 Huku mvua ya vuli ikiendelea kunyesha, kundi moja la kijamii la kuhifadhi mazingira la Kaiti Greening Champions limezindua zoezi la kupanda miti elfu 250 kaunti ya Makueni.