Skip to main content
Skip to main content

"Hatuna Imani na tume ya uchunguzi " CHADEMA

  • | BBC Swahili
    21,820 views
    Duration: 8:12
    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimepinga uteuzi wa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya vurugu yaliyotokea nchini humo wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani John Heche, amesema hawana imani kabisa na jopo hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw