- 21,209 viewsDuration: 4:50Rais Samia Suluhu Hassan, punde baada ya kuapishwa kama rais wa awamu ya sita nchini Tanzania alitumia hotuba yake kuwaonya ' wageni ' aliowalaumu kwa kusababisha vurugu nchini Tanzania. - Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali anajibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa? - Vyanzo vya kidiplomasia vimeiambia BBC kuwa kuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa angalau watu 500 wamepoteza maisha nchini humo, hata hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Thabit Kombo, amesisitiza kuwa takwimu hizo hazijathibitishwa rasmi na serikali ya Tanzania. - - - #tanzania #uchaguzi2025 #maandamano #bbcswahili #foryou #tanzania #usalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw