- 1 viewsMvutano unazidi kutanda katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini kabla ya uchaguzi mdogo ujao kufanyika kufuatia madai kwamba IEBC ilikuwa inapanga kutumia sajili ya wapiga kura ya 2017 ambayo itawafungia maelfu waliojiandikisha baadaye. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya