Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto apigia debe utawala wake. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,870 views
    Duration: 28:03
    Rais wa Kenya William Ruto amesema Kenya imepiga hatua za kuridhisha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita akiwa madarakani, lakini nchi haifanyi vizuri kama inavyostahili. Akihutubia kikao cha pamoja cha bunge la kitaifa na seneti katika hotuba yake ya kila mwaka, rais Ruto aliangazia mafanikio muhimu ya utawala wake katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, afya, mradi wa nyumba nafuu na teknolojia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw