Skip to main content
Skip to main content

Je unajua kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?

  • | BBC Swahili
    19,425 views
    Duration: 1:56
    Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele bandia ni maarufu sana kwa wanawake wa kiafrika duniani kote. Inapendwa na watu mashuhuri na akina mama na sasa imekuwa sehemu ya utambulisho wa kitamaduni na mitindo barani afrika. Lakini je unajua kuwa mtindo huu unaweza kuwa na madhara kwa afya yako? - - #bbcswahili #saratani #afya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw