- 31,601 viewsDuration: 8:06Maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania mwaka huu hayakuwa tukio la kipekee, Mataifa mengine pia yalipitia hali kama hiyo . Mwandishi wa BBC, Sammy Awami, anaangazia mizizi ya maandamano hayo katika nchi mbalimbali. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw