- 75,665 viewsDuration: 28:10Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo wakati wa uchaguzi mkuu, yalichochewa kutoka nje. Akiongea hii leo jijini Dar es Salaam, Nchemba amesema kuwa waliopanga machafuko hayo wana dhamira ya kupora rasilimali za taifa hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw