24 Nov 2025 8:25 pm | Citizen TV 587 views Duration: 1:23 Rais William Ruto sasa anasema kuwa kenya itafuata nyayo za taifa la malaysia na mengine makubwa ya bara Asia kufanikisha uchumi wake.