Skip to main content
Skip to main content

Donald Trump atangaza ‘operesheni kubwa za kijeshi’ nchini Iran,

  • | BBC Swahili
    19,366 views
    Duration: 58s
    Donald Trump ametangaza kwamba Marekani imeanza ‘operesheni kubwa za kijeshi’ nchini Iran, akiushutumu utawala wa Iran kwa kuendesha ‘kampeni isiyo na mwisho ya umwagaji damu na mauaji ya halaiki inayolenga Marekani.’ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw