Skip to main content
Skip to main content

Makamishna wa IEBC wakutana na maafisa wa usalama katika uchaguzi wa Mbeere North

  • | Citizen TV
    2,194 views
    Duration: 3:58
    Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imeanza maandalizi ya mwisho ya uchaguzi mdogo utakaofanyika katika maeneo mbalimbali keshokutwa. Afisa mkuu wa IEBC Marjan Hussein Marjan na makamishna wengine wanafanya kikao na maafisa wa usalama wa Mbeere North baada ya madai ya naibu rais Profesa Kithure Kindiki kwamba upinzani unapanga kuzua vurugu wakati wa uchaguzi. Emmanuel Too anafuatilia taarifa hiyo huko Mbeere huku tumu nyingine ya wanahabari wetu wakikita kambi katika maeneo ambayo yana uchaguzi mdogo. Tutaungana nao mubashara watupashe kuhusu maandalizi ya IEBC pamoja na hali ya usalama katika maeneo walipo.