25 Nov 2025 10:38 am | Citizen TV 589 views Duration: 1:54 Tume ya uchaguzi imetoa hakikisho kuwa itaimarisha hali ya usalama kwenye maeneo yenye ushindani mkubwa kwenye uchaguzi mdogo wa wadi wa Chewani kaunti ya Tana River.