Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kidini wawarai wakazi wa Kabuchai kudumisha amani

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 1:26
    Viongozi wa kidini na maafisa wa polisi wamewataka wanasiasa na wananchi kutoka eneo la Kabuchai kudumisha amani wakati wa uchaguzi mdogo siku ya Alhamisi.