25 Nov 2025 10:54 am | Citizen TV 214 views Duration: 2:11 Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Usalama binafsi, PSRA, imeanzisha mchakato wa ukusanyaji maoni nchini kuhusu rasimu ya kanuni za usalama binafsi za mwaka 2025.