25 Nov 2025 11:04 am | Citizen TV 251 views Duration: 2:19 Ukosefu wa vituo vya kuokoa watoto katika kaunti ya Tana River umetajwa kama mojawapo ya changamoto kubwa inayotatiza upatikanaji wa haki kwa watoto kaunti hiyo.